VURUGU zimeendelea Zanzibar huku mtu mmoja akiuawa baada ya kupigwa risasi ya moto na askari wa Kikosi cha Valantia (KVZ) usiku wa kuamikia jana. Habari za kuaminika zinasema mtu huyo, Salum Hassan Muhoja mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Regeza Mwendo nje kidogo ya mji wa Zanzibar alipigwa risasi karibu na Amaan mjini hapa. …
Soma gazeti lako la Annur
Vita ya Msalaba yaja kwa nguvu Mbagala sawa na Mwembechai Mansoor yamemkuta, Polisi waharibu mali Markaz Chang'ombe... Soma gazeti lako hapa ANNUUR 1039