DW

Kwenye ukurasa huu, utasikia makala mbali mbali za redio ambazo nimekuwa nikiripoti kupitia Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani, Deutsche Welle (DW). Kusikiliza, tafadhali bonyeza hapa (kwa habari na makala za zamani) na hapa(kwa mpya)

Advertisements

45 Replies to “DW”

 1. Dada Salma kwa kweli nimefurahi sana kutembelea blog yako, nimefurahi kuona blog ambayo nilikuwa naitafuta kwa muda sasa, blog ambayo iko dedicated kwa habari za Zanzibar nchi yetu tuipendayo. Nakupongeza sana kwa hatua hii na tafadhali endelea kutuhabarisha.

  1. Hewallah ahsante na huo ndio wajibu wetu kutoa taarifa na kwuaburudisha wasomaji nami natoa shukurani za pekee kwa watembeleaji wa blog yangu na ninashukuru sana kila ninapopata maoni kwani maoni yenu ndio changamoto kwangu ka kuelendelea kufanya vizuri zaidi

   nashukuru sana

 2. NDUGU YANGU SALMA

  NIMEFURAHI KUONA MAKALA YA MZANZIBARI MWENZANGU KUHUSU NCHI YETU
  NINGEPENDA KUSIKIA MENGI ZAIDI YA HAYA KWA NCHI YANGU
  ZAIDI KWA YALE YANOFURAHISHA NA YENYE MUSTAKBALI WETU NA VIZAZI VYETU TUNAITAKIA ZANZIBAR MAFANIKIO MEMA AHSANTE

  1. ZANZIBAR NI NCHI KAMILI INAYOJITEGEMEA LAKINI IMEFANYA URAFIKI TU NA NCHI ISIYOJUILIKANA YA TANZANIA. KAMA NI MUUNGANO MBONA HIYO SERIKALI NYENGINE HAIJUILIKANI RAISI WAKE NA VYOMBO VYAKE VYA DOLA KAMA ILIVYO KWA ZANZIBAR? HUO NI UBABAISHAJI TU…..

  2. Ninafikiriawengi wetu sisi tunaoingia kwenye mtandao huu ni wazaliwa baada ya mapinduzi, tuna wazee wengi,tuna wana siasa wengi tunawasomi wengi, pia tuna viongozi wa nchi.haya masuala yana tuchanganya akili sana hususan sisi wazanzibar na kama tunamtazamo kamili basi naweza kusema binafsi ZANZIBAR NI NCHI lakini kama imemezwa fulani hivi na tanzania.si mataifa mengi utakapo tamka tanzania wakafahamu na zanzibar imo ndani yake.lakini ukitamka ZANZIBAR mataifa mengi yatafahamu umkusudia ni nchi.

   1. ZANZIBAR NI NCHI SAWASAWA. LAKINI SI SEHEMU YA JAMHURI YA MUUNGANO MAANA KAMA HIVYO NDIVYO NI SAWA NA DAR ES SALAAM AU MWANZA? KAMA NI SEHEMU KWA MAANA YA MUUNGANO MBONA HIYO NCHI YA TANGANYIKA HATUIONI? RAISI WAKE HUCHAGULIWA VIPI? KATIBA YAKE IKO WAPI? BUNGE LAKE LIKO WAPI? AKARI WAKE NI WEPI? MAHAKAMA KUU YA TANGANYIKA IPO WAPI? ACHENI WOGA SEMENI UKWELI KUWA HUU NI UJANJA TU WA MAREHEMU……….MWALIMU

 3. AHSANTE KWA KUTUPATIA HABARI SS TULIO NJE YA ZANZIBA YETU.TUNAIPENDA SANA NCHI YETU ZANZIBAR.MUNGU IBARIKI ZANZIBAR,NA WW MUNGU AKUBARIKI.

  1. JAMANI TUMECHOKA KUZALILISHWA TUOMBE NCHI YETU WAZANZIBAR TUNAJIWEZA WACHENI WOGA. ZANZIBAR INAKILA SIFA YA KUJIONGOZA TUNAYO SERIKALI, WATU, ARDHI NA MIPAKA WATANGANYIKA TUNAWAPENDA ILA KWA HILI TUPOTAYARI TUWAACHE MKONO KWAHERINI NDUNGU ZETU WATANGANYIKA

 4. Dada Salma, Jazakallah! Kwa kweli dada pamoja na kuwa ni mara ya kwanza kupitia Blog yako, ama unatoa huduma maridhawa. Kwa kweli taarifa zako ni muhimu sana katika kuelimisha umma. Unastahiki pongezi za dhati kwa kuhuzi zako za maksudi unazochukua kuelimisha jamii. Kwa kweli sisi ambao tuko nje ya nchi yetu kwa muda taarifa zako zinatufariji sana na kujiona kama tuko nyumbani kihabari. InshaAllah dada Salma, endelea na kazi hii nzuri na tunamuomba Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema akupe umri mrefu na kila lenye kheri katika kuendeleza kazi hii pia kila lenyeheri mbele ya haki akhera. Amni! Amin!

 5. Naishiwa na la kusema. Sijui nianze na kukupongeza, kukushukuru, kukuombea dua au ? Alimradi kazi ni nzuri. Jitahidi kutuelimisha, kutujuvya na kutuelimisha.

  AHSANTE SANA.

 6. Bi Salma Blog yako naipenda sana kwasababu habari zote unazoziandika zinakuwa za kweli. Nakuhakikishia kila siku huipitia Blog hii mfululizo kutafuta mepya unayoyaandika. Nakutakia kila la kheri.

 7. You doing fantastic job my sister, keep ur eyes on the ball.We need people like u in ZNZ.We prouds to have u in our such great Islands of znz.May GOD bless u and all of us ZANZIBARIS ameen.Thanx again for su

 8. You doing fantastic job my sister, keep ur eyes on the ball.We need people like u in ZNZ.We prouds to have u in our such great Islands of znz.May GOD bless u and all of us ZANZIBARIS ameen.

 9. dd salama nilisoma katika makala ya wanawake na maendeleo dw redio kua kuan mwanamke huko pemba kaanzisha kazi za uchongaji fundi seremala naomba unipatie namba yake ya simu ili nipate kumpa oda yangu ikiwa kazi zake nzuri.

 10. Bi Salma ninakupongeza kwa kazi nzuri sana unayoifanya na ninakuombea mafanikio zaidi ya kazi yako.

  Kama siku yoyote utakuwa na safari ya kuja Netherlands basi mwenyeji wako ni mimi na nakuachia namba hii ya simu weka akiba 0031684783599

  1. Asalamu Alaykum. nimepokea ombi lako la kutaka niondoshe picha ya kanisa lakini nasikitika sana kwamba mimi siwezi kuiondosha picha hiyo kwa sababu kuweka picha ya kanisa na msikiti ndio moja ya vielelevyo halisi vya utamaduni wetu wa kizanzibari wa kuvumiliana kidini kiitikadi na kisiasa.

 11. Asalam alaikum asante mama salma naona linchoka sana halina ta rangi.
  Tupe habari huko za madevu lini ataingia ikulu ndogo musiweke usikuuuuuu.

 12. Asalamu alaikum salma,mungu akuzidishie baraka na kheri kubwa maishani mwako pia ayatilie wepesi mambo yako yote uliyo jipangia ya mafanikio kwenye kazi zako,akuepushe na husda na kila lililo la shari na mabalaa. kama kuna uwezekano hayo mapicha ya nguruwe he !!!!!!!! YANTUTOSHAAAAAA …SALMA WE.

 13. Assalaam alaykum.
  Kwanza kabisa napenda kumshukuru Allah (SW) kwa kunijaalia uwezo wa kuandika ujumbe huu kwako.
  Pia ningependa kutuma salamu zangu za pongezi kwa kuamua kuanzisha ukurasa huu ambao unatufikia na sisi wananchi wa Zanzibar tuliombali na Zanzibar na pia tunaopenda kujua yanayoendelea kuhusu nchi yetu nzuuri ya Zanzibar. Ahsante sana dada Mwenyezimungu atakulipa fadhila kwa hilo.
  Ninaishi Algeria kimasomo. Nimekua nikihangaika sana katika kurasa tofauti ili kupata kuona ni wapi nitakua nasoma habari tofauti kuhusu Zanzibar. Na sasa kiu yangu imekatika. Nashukuru sana
  Nakushauri pia utuwekee picha tofauti tofauti na za mazingira tofauti tofauti katika sehemu tofauti za Zanzibar

 14. HARAKATI ZA KUDAI UHURU WA ZANZIBAR
  enyi wazanzibar wenzangu tuhamasishane kudai uhuru wa zanzibar kutoka mikonono mwa wakoloni ambao ni tanganyika.
  zanzibar ni koloni la tanganyika

 15. HARAKATI ZA KUDAI UHURU WA ZANZIBAR
  enyi wazanzibar wenzangu tuhamasishane kudai uhuru wa zanzibar kutoka mikonono mwa wakoloni ambao ni tanganyika.
  zanzibar ni koloni la tanganyika. kwa kutumia vyombo vya habari kama facebook nk tuhamasishane kudai uhru wa zanzibar

 16. HARAKATI ZA KUDAI UHURU WA ZANZIBAR
  TUNAVIOMBA VYAMA VYA SIASA KUPITIA WABUNGE NA WAWAKILISHI WA ZANZIBAR KUUNGANA BUNGENI NA KATIKA BARADHA LA WAWAKILISHI KUPIGANIA AU KUDAI UHRU WA ZANZIBAR enyi wazanzibar wenzangu tuhamasishane kudai uhuru wa zanzibar kutoka mikonono mwa wakoloni ambao ni tanganyika.
  zanzibar ni koloni la tanganyika. kwa kutumia vyombo vya habari kama facebook nk tuhamasishane kudai uhru wa zanzibar.

  ZANZIBAR BILA YA KUPATA UHURU HAIWEZI KUPATA MAENDELEO. NI BORA KUJITAWALA KULIKO KUTAWALIWA

 17. Asalamu alaykum Anti yangu salma Inshaaalwaah M.Mungu akupe yale yenye heri na wewe na akuondoshee yote yenye shari na wewe na upate malipo mema Inshaaalah kwa haya unayotupatia kutoka kwetu Amin.

 18. Extraordinary posting! I am just starting out in Facebook Marketing and now we’re attempting to catch on to how to best capitalize on social media optimization for small business.

  Keep up the good work!

 19. Nianze kwa kukipongeza chombo hiki,kwa kuwaelezea watu ukweli bila ya kupendelea upande fualani.
  Tofauti na vyombo vya habari vya Tanzania vimekua havina uhuru vimebanwa matokea yake vinaegemea upande wa serikali tu.

 20. Ingependeza kama utaboresha quality ya picha ya blogi yako:

  1. Fonts za ” Zanzibar Yetu” :
  a) Fikiria kuziboresha/kuzibadilisha ili ziwe hai na kivutio. Kwa kukupa mwanga zaidi, hebu andika Zanzibar Yetu ktk laptop yako,
  jaribu kuweka Font za Parchment, Harlow solid Italic au Palace Script MT @ size 100 (Word Art style : Fill – None, Outline –
  Accent
  b) Color za fonts ziwe vivid & attractive
  c) unaweza pia kufikiria embossed/3D au zaidi

  2. Picha: Quality ya picha iko hafifu. Fikiria kuichukua upya picha kwa kutumia digital camera yenye minimum 15megapixels

  Kazi njema.

 21. Naipenda sana zanzibar kwasababu zanzibar ndio kwetu sina kwingine pakujivunia zanzibar kwanza chama badae shime wazanzibari tuungane kulinda,kutetea na kujitolea kwa ajili ya Zanzibar yetu Ewe mola tusaidie

 22. Zanzibar si Coloni la Nchi yoyote ile Zanzibar ilikuwa nchi KAMIL. ikijiamulia Kila jambo lake wenyewe. Mpaka ilikuwa na KITI CHAKE UMOJA WA MATAIFA. Sasa Wanaosema si nchi Ajijibu Mwenyewe. Zanzibar imepoteza hadhi yake Baada ya Mapinduzi. Na imeondoshewa haiba yake na umaarufu wake Baada ya Huu MUUNGANO Na kuitwa Tanzania si thani ikiwa wewe MZANZIBARI ASILI HASA kama unapenda kuitwa Mtanzania. NAWAOMBA WAZANZIBARI WENZANGU TUNOISHI NJE YA ZANZIBAR TULIFUFUE JINA LA ZANZIBAR IPATE KUWA MAARUFU ZAIDI.NA WALA USIKUBALI KUJITA MTANZANIA . ASANTENI

 23. Please write in Kiangreza also, for many of us who left Zanzibar over 50 years ago,
  na sasa tume sahau ku soma katika Kiswahili. ahasante.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s