DSC02935

2 Replies to “DSC02935”

  1. hali nimbaya kwa sisi wazanzibari ninanyo mimi haya yote yanayotokea ni mazao ya mbegu tuliyoipanda wenyewe mwazo ya yote ni pale tulipoacha kuajiri wazawa katika tasisi nyeti za kiutendaji kwa kuwaona hawaitakii mema Serikali ya chama tawala lakini ni ukweli usiofichika wanaofanya hivyo na unyama huo sio wazanzibari na hawana imani ya dini zao. Ajira nyingi kwa sasa zimetolewa kwa mamluki waliopandikizwa ili kutekeleza hayo wanayoyafanya mwenye imani ya kweli ya kumuogopa mungu hawezi kufanya kitendo kama hicho kwa sasa hatuna budi kuvuna tulicho panda nasikitika nawaombea mungu yasiwafike wale ambao hayajawafika.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.