Waliomjeruhi ‘mwizi’ kwa msumeno wa moto wapata dhamana

JALADA la kesi ya watuhumiwa sita wakiwemo wawili wa familia moja wanaodaiwa kumjeruhi, Mahmud Mjengo Ali (28) wakidai kuwa mwizi wa nazi, limepelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) wakisubiri kufikishwa mahakamani. Watuhumiwa hao kwa pamoja katika kijiji cha Ubago wilaya ya kati Unguja, walimjeruhi mlalamikaji baada ya kumkamata akiiba nazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa …

”Hakuna mchele wa plastiki Z’bar”

BODI ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar, imesema hadi sasa haijabaini kuwepo mchele wa plastiki ulioingizwa nchini. Akizungumza na Zanzibar Leo ofisi kwake Mombasa, Mkuu wa Idara na Ubora wa Chakula wa Bodi hiyo, Aisha Suleiman, alisema taarifa za kuwepo mchele huo zinaonekana katika picha zilizorushwa kwenye mitandao ya kijamii lakini hakuna uthibitisho wowote kama …