Jela kwa kutorosha

VILIO, simanzi zilitawala jana kwa familia ya mshitakiwa Hija Vuai Makame (25) mkaazi wa Jang’ombe baada ya kuhukumiwa kifungo cha mwaka moja kwa kosa la kutorosha msichana wa miaka 16.   Baada ya mahakama kumpa nafasi ya mwisho ya kuomba, mshitakiwa aliangua kilio huku akiiomba mahakama impunguzie adhabu kwa sababu anategemewa na familia yake na …

Advertisements