Wana CCM Wagombwa

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi amewataka Viongozi wa na Wanachama wa CCM kuwakemea Wanachama waliojikita  katika kuendeleza makundi ndani ya chama wakijiandaa kwa ajili ya kujenga safu ya Uongozi kwenye uchaguzi Mkuu ujao. Alisema makundi yanayojipanga wakati huu ambapo  kwa sasa Taifa linatarajia …

Advertisements