Kiswahili kipewe hadhi yake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amelitaka Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) kuwasaidia waandishi wa habari hapa nchini kuitangaza na kuiandika vyema lugha ya kiswahili kwenye vyombo vyao.   Dk. Shein aliyasema hayo jana, alipokutana na uongozi wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo pamoja na Bodi …