Sekta ya utalii iimarishwe

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Kamisheni ya Utalii kuongeza kasi katika kuimarisha dhana ya utalii kwa wote kwani imeanza vizuri katika kufikia lengo lililokusudiwa.   Aliyasema hayo, alipokutana na uongozi wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo, Bodi ya Wakurugenzi ya Kamisheni hiyo na Menejimenti katika vikao vinavyoendelea Ikulu mjini Unguja. …

Advertisements