‘Eco School’ Elimu ya Mazingira ianzie Skuli

WALIMU Kisiwani Pemba wametakiwa kuwafunza watoto juu ya umuhimu wa suala zima la kuhifadhi mazingira katika maeneo yao.   Akizungumza katika ufunguzi wa Semina kwa Walimu wa Skuli zilizojiunga katika mradi wa ‘Eco School’ iliyofanyika katika ukumbi wa mkutano Gombani Chake Chake, Mratibu wa Zayadesa Said Shaaban, alisema.   lengo la mradi huo ni kuzisaidia …

Madawa yampeleka jela

MAHAKAMA ya Wilaya ya Chake Chake, imemuhukumu Kifungo cha miaka mitano Jela, Mshitakiwa Ramadhan Said Mohammed (24) Mkaazi wa Chachani Chake Pemba, baada ya kubainika na kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya.   Hukumu iyo ilitolewa na Hakimu wa Mahakama hiyo,  Nyange Makame Ali, baada ya kubainika kupatikana Madawa ya kulevya kinyume wa kifungu …