Ofisa anaswa kwa tuhuma za rushwa

MAMLAKA ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA), inamshikilia mtendaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira Zanzibar (ZAEMA) Ali Othman Mussa, kwa tuhuma za kupokea rushwa ya shilingi milioni tatu, kutoka kwa mlalamikaji mkaazi wa Chake Chake. Akizungumza na waandishi wa habari, Mdhamini wa mamlaka hiyo Pemba, Suleiman Ame Juma, alisema mtuhumiwa alikamatwa Julai …

Advertisements

JPM: Hakuna fedha za bure

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, amesema katika utawala wake hakuna kupata pesa kwa njia rahisi kwani lazima watu wafanye kazi kweli ili kupata pesa halali. Alisema hayo Handeni wakati anaelekea mkoani Tanga kwa ajili ya uwekaji jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima …

Fundo kupata umeme

 SHIRIKA la Umeme Zanzibar (ZECO) leo linatarajia kusafirisha waya wa umeme wa baharini ambao unatarajiwa kupeleka umeme katika kisiwa cha Fundo kilichopo Wete mkoa wa Kaskazini Pemba.   Akizungumza na waandishi wa habari katika bandari ya Malindi Unguja, Meneja Mkuu wa shirika hilo, Hassan Ali Mbarouk, alisema hatua hiyo imekuja kutokana na ahadi ya Rais …