Drop of Zanzibar wagoma

Washinikiza mshahara mpya  SHUGHULI za uzalishaji katika kiwanda cha maji ‘Drop of Zanzibar’ kilichoko Hanyegwa mchana Wilaya ya Kati Unguja, zimedorora kuanzia Julai 1, 2017 kufuatia mgomo wa wafanyakazi wakilalamikia kutolipwa mshahara mpya uliotangazwa na serikali.   Wafanyakazi hao wamechukua hatua hiyo, wakidai kutosikilizwa na uongozi, ambao ulitarajiwa kuanza kulipa kiwango kipya cha mshahara uliotangazwa …