Dereva Bodaboda waiangukia serikali

SIKU moja baada ya Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kuendesha operesheni za pikipiki zinazosafirisha watu maarufu kama ‘bodaboda’, madereva wa pikipiki hizo wameiomba serikali iwaruhusu waendelee kufanya biashara ya kubeba abiria.   Wakizungumza na Zanzibar Leo katika maeneo tofauti walisema, serikali imekuwa ikiwahimiza vijana kujiajiri, lakini cha kusikitisha wamekuwa wakibugudhiwa katika kazi zao ambazo zimekuwa …