Mtoto aliyetelekezwa

WIZARA ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto imekabidhiwa mtoto aliyeokotwa baada ya kutelekezwa na mama yake huko  katika shehia ya Mzambarauni  wilaya ya Wete.   Mtoto huyo ambaye alikuwa chini ya Wizara ya Afya tangu Julai 2 mwaka huu, amekabidhiwa kwa Naibu waziri wa wizara hiyo na Ofisa Mdhamini wizara ya Afya Pemba …

Advertisements

Operesheni kamata ‘bodaboda’

JESHI la Polisi limeendesha operesheni ya kukamata pikipiki zinazotumika kusafirisha abiria maarufu kama ya ‘bodaboda’, zinazofanyakazi hiyo katika  Mkoa wa Mjini Magharibi.   Operesheni hiyo ilianza jana asubuhi katika maeneo mbalimbali ikiwa ni utekelezaji wa amri ya Kamishna wa Polisi Zanzibar, ambaye aliwaagiza watendaji wa jeshi hilo, kuhakikisha hakuna kituo cha bodaboda katika Mkoa wa …