Anaejitangaza Mtume akamatwe

fruits

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limeviomba vyombo vya dola kumkamata mtu anayehubiri uislamu na kudai kuwa yeye ni mtume.

Akizungumza jana kwa niaba ya Mufti wa Tanzania, Msemaji wa BAKWATA, Sheikh Khamis Mattaka, alisema mtu huyo anayeitwa Hamza Issa anatoa mahubiri kinyume na dini ya Kiislamu katika eneo la Misugusugu wilayani Kibaha.

Alisema mtu huyo anasema yeye ni Nabii Ilyasa. Alisema mtu huyo anafanya fujo kwa kutumia dini ya Kiislamu na kwamba anaweza kusababisha machafuko asipochukuliwa hatua za kisheria.

“Kudai kuwa yeye ni Mtume ni upotoshaji ambao ukiachwa utasababisha vurugu,” alisema.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s