Ujenzi barabara Kizimbani-Kiboje waanza

WIZARA ya Miundombinu, Mawasiliano na Uchukuzi, imeanza matengenezo ya kuweka kifusi barabara ya kutoka Kizimbani hadi Kiboje, kufuatia kuharibika kulikosababishwa na mvua za masika zilizopita.   Akizungumza na waandishi habari, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mustafa Aboud Jumbe, alisema kazi za uwekaji wa kifusi zitachukuwa siku 10 na itaiwezesha barabara hiyo yenye urefu wa kilomita …

Advertisements

Wanawake wabanwa na mfumo dume

WANAWAKE wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wamelalamikia tatizo la baadhi ya wanaume kuendeleza vitendo vya ukandamizani kwa wanawake ikiwemo kuwazuia na kuwakataza wasijiunge na vikundi vya ujasiriamali.   Wakizungumza katika kikao maalumu cha kutoa elimu ya ujasiriamali huko Donge mkoa wa Kaskazini Unguja, wanawake hao wamesema wengi wao wamepata mwamko wa kujiunga na vikundi vya …