Polisi yamkingia kifua Mwalimu anayedaiwa kusababisha kifo

Siku chache baada yako cha Mwanafuzi wa Shule ya Laurante Internation Kisiwani Pemba Saleh Abdallah Masoud kufariki dunia kutokana na kipigo cha Mwalimu wa shule hiyo, Jeshi la Polisi la Mkoa wa Kusini Pemba limeibuka na kuisafisha shule hiyo na tuhuma hizo. Shule hiyo ambayo imefungwa hivi sasa kutokana na sakata hilo wakati serikali ikifuatilia …