Usiichome kisu Zanzibar!

Na Rashid Abdallah HAKUNA mtu mwenye akili timamu ataunga mkono umwagaji wa damu waliofanyiwa raia wa kigeni waliokuwa wakipata chakula kwenye mkahawa maarufu wa Luqman, mtaa wa Mkunazini mjini Zanzibar. Kijana anayekisiwa kufika umri wa miaka 25, aliingia kwenye mkahawa huo maarufu kwa vyakula vya Kizanzibari, na kushambulia watu watatu hapohapo na wengine watatu wakati …

Advertisements

Siri nzito CCM, ACT

Na Mwandishi Wetu UTEUZI wa viongozi wawili wa ngazi ya juu wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanywa na Rais John Magufuli sasa huenda ukaibua mgogoro kati ya kiongozi huyo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, MwanaHALISI imebaini. Aidha, uteuzi huo ambao vyanzo vya habari vya gazeti hili vinaueleza kama uliofanywa bila ya Zitto kushauriwa, unaelezwa …