Zanzibar ni ya Wazanzibari”, kaulimbiu ya Jinja

Jun 01, 2017 by Ahmed Rajab in Makala WIKI iliyopita Zanzibar iliondokewa na mmoja wa wanawake wake maarufu.  Kwa muda wa miaka mingi, Bi Fatma “Jinja,” aliyefariki alfajiri ya Mei 26, akiwa na umri wa miaka 87, alipata umaarufu kutokana na umaarufu wa watu wengine. Ama umaarufu wa waliohusiana naye kwa damu au wa wengine …

Advertisements