Ibrahim Noor: Msanii anayeutetea Uswahili

FEB 16, 2017       by AHMED RAJAB      in MAKALA PROFESA Ibrahim Noor Sharif Albakry ni msomi, msanii, na mwandishi mwenye sifa nyingi. Wengi wanamjua kwa majina yake mawili ya mwanzo na kwa vitabu vyake kadhaa kuhusu lugha na utamaduni wa Kiswahili pamoja na maandishi yake ya historia na siasa.  Mwandishi hupata taabu anapojaribu …

Advertisements