Madaktari Bingwa Wamaliza Ziara Kisiwani Pemba

01

Waziri wa Afya Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ametoa shukrani za dhati kwa madaktari bingwa walioletwa na Jumuiya ya Kiislamu  ya Munadhammat Daawa  kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia.

Madaktari hao walitoa huduma ya matibabu kwa muda wa siku 10 kisiwani Pemba. Ziara ya madaktari hao ilifadhiliwa na Taasisi  ya  Umoja wa Vijana wa Kiislamu Duniani (WAMY)

Mkurugenzi wa Munadhamat Daawa Al Islamiya Tanzania Dkt. Khalid Al-Awadh, akimueleza Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo huduma walizotoa kisiwani Pemba kwa muda wa siku 10. Katikati ni Mratibu wa WAMY nchini Saudi Arabia Dkt. Ibrahim Algamaan

Baadhi ya madaktari bingwa waliokuwa wakitoa huduma za afya Kisiwani Pemba kutoka Jumuiya ya Munadhamat Daawa Islamiya wakiwa katika mkutano na Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo
Baadhi ya madaktari bingwa waliokuwa wakitoa huduma za afya Kisiwani Pemba kutoka Jumuiya ya Munadhamat Daawa Islamiya wakiwa katika mkutano na Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo

Mratibu wa taasisi ya WAMY Dkt. Ibrahim Algamaan akiwa na madaktari wenzake akimkabidhi zawadi Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo kama ukumbusho wao kwake walipokwenda kuonana nae ofisini kwake Mnazi Mmoja, Vuga Zanzibar

Chanzo: Maelezo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s