Rais wa Zanzibar asaini mswada wa sheria wa mafuta na gesi asilia

shein-muswada

Rais wa Zanzibar leo amesaini mswada wa sheria wa mafuta na gesi asilia Ikulu na baadae akaongea na waandishi wa habari. Mswada huo ambao unapingwa na wanasheria wakisema Zanzibar haina mamlaka ya kuwa na sheria hiyo kwa kuwa suala la mafuta na gesi limo kwenye mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hafla hiyo iliyohudhuriwa na Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu George Masaju, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar ndugu Said Hassan Said na viongozi wa serikali ya Zanzibar pamoja na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa.

Soma zaidi hapa

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s