Innaalillah Wainnaa Ilah Raajiuun: Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi amefariki

Rais wa zamani wa Zanzibar, marehemu Aboud Jumbe Mwinyi
Rais wa zamani wa Zanzibar, Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi

Rais Mstaafu wa Zanzibar, Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo nyumbani kwake Kigamboni, Mji Mwema jijini Dar es Salaam, na kwa mujibu wa mwanawe aitwaye Ammar Aboud Jumbe amenithibitishia kwa njia ya simu kwamba maiti italetwa kesho na maziko yatafanyika Migombani Zanzibar saa 7 mchana.

Allah amlaze mahali pema ampe kauli thabit na amuweke katika makazi yaliyo bora kabisa. Aamiin.

 

One Reply to “Innaalillah Wainnaa Ilah Raajiuun: Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi amefariki”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s