CUF, CCM washikana uchawi

MKUU wa Mkoa wa kaskazini Pemba Mhe: Omar Khamis Othman, akitoa tamko la Serikali ya Mkoa wake na kuwapa pole wananchi waliopata hasara ya kuunguliwa
MKUU wa Mkoa wa kaskazini Pemba Mhe: Omar Khamis Othman, akitoa tamko la Serikali ya Mkoa wake na kuwapa pole wananchi waliopata hasara ya kuunguliwa moto

Mkurugenzi wa Haki za Binadamu na Sheria (CUF) Wilaya ya Wete, Mwinyi Juma Ali amesema chama hicho kinaheshimu misingi ya utawala bora na haki za binadamu, hivyo tuhuma za ubaguzi hazina ukweli wowote.

Akizungumza ofisini kwake jana, Mwinyi alisema chama hicho kinasikitishwa na vitendo hivyo hasa kufyekwa mashamba na kusababisha hali ya umaskini kwa wananchi

Hata hivyo, Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman alisema hujuma hizo zinapangwa na kuratibiwa na wafuasi wa CUF.

Othman aliyasema hayo alipozungumza na wananchi baada ya kutembelea shamba la mihogo na migomba, lenye ukubwa wa eka tano lililofyekwa.

Chanzo: Mwananchi

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s