Dkt. Magufuli na Dkt. Shein wamjulia hali Maalim Seif

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli, amemtembelea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad katika holeti ya Serena Jijini Dar es Salaam. Maalim Seif yupo hotelini hapo kwa mapumziko baada ya kutolewa hospitali ya Hindu Mandal jana jioni alipokuwa amelazwa. Maalim Seif amewahakikishia Watanzania kuwa afya yake inaendelea vizuri na kwamba anaendelea na shughuli zake na siku chache zijazo ana matumaini ya kurejea katika hali yake ya kawaida. Picha: OMKR

mag1 mag2

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiambatana na Dkt. Mwinyihaji Makame, wamefanya ziara ya kumtembelea Maalim Seif kwa ajili ya kumjuilia hali. Maalim Seif ambaye kwa sasa yuko hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mapumziko baada ya kutolewa hospitali, amesema afya yake inazidi kuimarika siku hadi siku. Dkt. Shein alifika hotelini hapo mnamo majira ya saa mbili usiku

sh1 sh4

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s