Hotuba ya Maalim Seif Sharif Hamad

Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia CUF(UKAWA), Maalim Seif Sharif Hamad
Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia CUF(UKAWA), Maalim Seif Sharif Hamad. 

Kitendo cha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum Jecha kutoa tamko lisilo halali kikatiba na kisheria la kuufuta Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar pamoja na matokeo yake kumeitumbukiza Zanzibar katika mzozo mkubwa wa kikatiba na kisheria. Soma tamko rasmi hapa: – 

2 Replies to “Hotuba ya Maalim Seif Sharif Hamad”

 1. napenda kuwaeleza wazi wazanzibar wenzangu popote walipo kwamba JP Magufuli chini ya washauri wake wa kutoka dhehebu kongwe la kikatoliki HATORUHUSU KUWEPO NA MAGEUZI ZBAR akizingatia kwanza Mustakbali wa chama chake kilichomuweka yeye madarakani ..na pia kwa kuzingatia Muamko wa Dini ya kiislaam utakavyobadilisha jamii ya wazanzibar …..hilo kwa Magufuli ni kikwazo kikubwa ..mukumbuke huyu bwana ana washauri wake wapo 5 na wanne ni wakatoliki.
  Na iwapo Maalim Seif au viongozi wa juu wa CUF watazielekeza juhudi zao na mategemea yao kwa JPM itakuwa ni kujidhalilisha na kupoteza muda wao ulio muhimu . Kama ilivyo kawaida ya utawala wa srikali ya CCM -hawapotayari kukubali kushindwa wala kuwapa upinzani nafasi ; bali kuna kila njia na mikakati ya kuzima kabisa harakati za mageuzi yanayojitokeza Nchini TZ kwa maslahi ya utawala wa CCM …na wala CUF wasitegemee kabisa kupata serikali huko visiwani chini ya uongozi huo wa J.P.MAGUFULI …

 2. Asalam alaykum. Ukweli waraka huu wa Maalim una hadhi ya juu kabisa na ukweli uliowadhahiri na ni waraka rejea kwa wale wanafunzi wanaofanya tafiti za PHD juu ya siasa za Zanzibar ama kwengineko katika vyuo vikuu mbali mbali.
  Ushahidi ndali ya waraka huu juu ya uchaguzi wa Zanzibar hakuna Mahkama wala mwana CCM yeyote anaeweza kuchalenge ila kukubaliana nao. Ila kwa dhamiri ya CCM inayojifanya mwalimu na laghai mwovu kabisa wa haki za binadamu wao waraka huu wataupinga bila kuwa na hoja muafaka. Wao kwao Seif asiwe rais, CUF isiongoze, mpemba na mzazibari halisi ni marufuku kuingoza Znz kwa maslahi ya wananchi wa ZNZ. Ukweli sisi wananchi tumeshachoka na vitimbi hivi na wakati umeshafika kumuomba Mwenyezi Mungu kwa vitendo, maana tumemuomba sana kwa maneno na kutukubalia sasa anatutaka tufuatilize kwa matendo yatayolinda utu wetu na heshima yetu. Kwani tumepuuzwa vya kutosha, tumedharauliwa saanaa, tumedhulumiwa kupita kiasi sasa tumeshachoka. Vitimbi vyote hivyo vimefanya na tawala mbali mbali kama vile Wareno, Bu-Said dynasty, Waengereza , utawala wa kimapinduzi, na sasa CCM pamoja na vikaragosi vyao. Liwalo na liwe sisi kwetu hatuna hasara maana hatuna malengo ya kupata chochote kutoka kwenu hata maisha ya kila siku kwetu imekuwa dhiki na tunaamini kuna maisha baada ya kufa. Kupambana na CCM kwetu ni faradhi. Tumekubali ustarabu wa demokrasia ambao sisi tunakubali kushindwa uchaguzi na hata wakati wengine tumeshinda ili kuleta amani na maelewano ndani ya nchi yetu. Leo sisi watu ambao vizazi vyetu vimekuwepo hapa visiwani petu yapata miaka 30,000. iliyopita inakuwaje mutuite wageni katika dongo yetuuu. Wengi wenu mulioviongozi nyinyi CCM basi munajua kabisa kwamba hamna mizizi yoyote hapa Zaznibar ingawa sisi hatuwabagui kwani miongoni mwenu wazee wenu walifuata maisha nafuu hapa Znz katika miaka ya 1900. Ama wengine kama Spika wa kudumu wa baraza la wawakishi na nduguyake Nahodha wao ni masalia ya vizazi vya watumwa kutoka mbali ambao mababu zao hawakuwahi kuwasafirisha kuwapeleka Madagasca ama kwengineko.
  Nyinyi kwa vile hamtuheshimu sisi wazalendo tuliofanya maamuzi ya tarehe 25/10 na mnamsindikiza Sultani Shein ambae nae pia ni Masalia ya watumwa (na ndio maana akawa na kauli ile ile ya kibaguzi kwenye mabango yao UHIZBU, UCHOTARA na WAPEMBA) avuruge demokrasi kwa kuleta uvundo na mauaji katika uchaguzi huku wakilindwa na nyoka Mkapa ,kikwete chini ya shoka la magufuli. Ee ndugu zangu sisi tutapambana na nyinyi na kukutieni khasara nyinyi watanganyika kwa muda mrefu sana tu na mtajuta kabisa kuacha kufanya haki katika kadhia hii.
  Mwisho sisi tunataka amani na haki yetu na kuendeleza udugu wetu.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s