Buriani Bi Amina

Bi Amina Abdallah Amour
                               Bi Amina Abdallah Amour

Inna Lillahi Wainna Ilyhi Rajiuun, Bi Amina Abdallah Amour amefariki dunia kwa mujibu wa wana familia wanasema Mzee wao amefariki ghafla akiwa ndani ya gari zake akiendelea na shughuli zake. Bi Amina aliwahi kuwa Mbunge wa Viti maalumu kwa tiketi ya CUF katika bunge lililopita pia aliwahi kuwania nafasi ya Naibu Spika Bunge la Katiba na baadae akatoka CUF na kujiunga na Chama Cha ACT. Tunamuomba Mwenyeenzi Mungu amlaze mahali pema peponi. Amin.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s