Viongozi Mbalimbali wajitokeza kupiga kura leo

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kupiga kura huko Kibele Mkoa wa Kusini Unguja

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipiga kura yake katika Skuli ya Kitope Mkoa wa Kaskazini Unguja

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akikabidhiwa karatasi ya kupigia kura huko Kibele mkoa wa kusini Unguja

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akipiga kura yake  huko Kibele mkoa wa kusini Unguja

Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi akipiga kura katika kituo cha Garagara Jimbo la Mtopepo Zanzibar

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s