Taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani), wakati wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam. Picha: Wizara ya Mambo ya Ndani

Ndugu Waandishi wa habari,

Kumekuwepo na taarifa mbalimbali za vitisho zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na hata mitaani na watu wasio na nia njema kwa taifa letu, zikiwataka wananchi wanunue mahitaji yao mbalimbali ikiwemo vyakula na kuvihifadhi kwa ajili ya kuja kuvitumia wakati na baada ya uchaguzi kwa ubashiri wa kuwepo kwa vurugu wakati ama baada ya uchaguzi.

Soma taarifa kamili hapa: –

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s