Nafasi za ufadhili wa masomo ya Elimu ya Juu kutoka serikali ya Oman

Alyekuwa Waziri wa Elimu Zanzibar, Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Elimu ya Juu wa  Oman, Dk Rawiyah Al Busaid wakiweka saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa Elimu juu baina ya serikali ya Oman na Zanzibar Rais Jakaya Kikwete kushuhudia sherehe ya kutia saini. Picha: Ikulu
Aliyekuwa Waziri wa Elimu Zanzibar, Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Elimu ya Juu wa Oman, Dk Rawiyah Al Busaid wakiweka saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa Elimu juu baina ya serikali ya Oman na Zanzibar; Rais Jakaya Kikwete akishuhudia tukio hilo.                Picha: Ikulu

Wizara ya Elimu ya Oman kwa kushirikiana na wizara ya elimu ya Zanzibar, imetangaza nafasi za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu kwa mwaka 2015/2016; kwa wazanzibari wasiozidi miaka 25.

Soma maelekezo zaidi hapa: –

Advertisements

One Reply to “Nafasi za ufadhili wa masomo ya Elimu ya Juu kutoka serikali ya Oman”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s