Polisi yakamata silaha zilizoibwa Stakishari

Kamishina wa Polisi, ACP Suleiman Kova amesema leo pamoja na kukamata sialaha hizo, jeshi hilo linawashikilia watu wawili kati ya watano waliokamatwa wakijiandaa kufanya uhalifu eneo la Toangoma jijini Dar es Salaam.
Kamishina wa Polisi, ACP Suleiman Kova amesema jana pamoja na kukamata sialaha hizo, jeshi hilo linawashikilia watu wawili kati ya watano waliokamatwa wakijiandaa kufanya uhalifu eneo la Toangoma jijini Dar es Salaam.

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata bunduki 14 na risasi 28 zilizoporwa katika kituo cha polisi cha Stakshari.

Sambamba na silaha hizo ambazo ni bunduki za SMG 7, bunduki za SAR 7 zote zikiwa zimeibiwa Stakshari, jeshi hilo pia limekamata bunduki ya kichina aina ya Norinko  na  sanduku la chuma lililosheheni fedha za kitanzania 170 milioni.

Kamishina wa Polisi, ACP Suleiman Kova amesema leo pamoja na kukamata sialaha hizo, jeshi hilo linawashikilia watu wawili kati ya watano waliokamatwa wakijiandaa kufanya uhalifu eneo la Toangoma jijini Dar es Salaam.

Kova alisema watu watatu kati yao walifariki dunia baada ya kupambana na Polisi waliokuwa wakitaka kuwaweka nguvuni baada ya kubaini mpango wao wa kufanya uhalifu.

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s