Muongozo wa maadili ya vyama vya siasa kwa Uchaguzi Mkuu, 2015

11692508_1498382303786593_8154754423043275129_nUtangulizi

Kwa kuwa tunahitaji kuwa na amani, uhuru wa kampeni, na kuheshimu sheria ili kufanya uchaguzi wa huru na wa haki. Sisi vyama vya siasa tumeamua kwa hiari yetu wenyewe kutengeneza maadili haya ili yatuongoze katika shughuli zetu za uchaguzi na tunakubaliana   kuwa sisi kama wananchi wa Zanzibar, tutahakikisha kuwa maadili haya yanajulikana kwa wagombea, mawakala na wafuasi wetu, na kwamba tutahakikisha vifungu vyote vinatakelezwa kikamilifu. Kwa hiyo, kwa hiari yetu tunatengeneza na kujipa wenyewe maadili yafuatayo:-

Advertisements

One Reply to “Muongozo wa maadili ya vyama vya siasa kwa Uchaguzi Mkuu, 2015”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s