ZEC yatangaza majimbo 4 mapya

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha akito taarifa kwa vyombo vya Habari kuhusiana na mabadiliko ya Mipaka na Idadi ya majimbo katika hoteli ya Grand Palas Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha akito taarifa kwa vyombo vya Habari kuhusiana na mabadiliko ya Mipaka na Idadi ya majimbo katika hoteli ya Grand Palace Zanzibar.

Ndugu Waandishi Tume ya Uchaguzi inapenda kutoa taarifa kuwa imekamilisha kazi yake ya uchunguzi wa Idadi, Mipaka na Majina ya majimbo ya Uchaguzi. Tume imeongeza idadi ya majimbo manne ya uchaguzi ya Wawakilishi na kufanya jumla majimbo yote kuwa 54 badala ya 50 yalokuwa ya awali.

Baada ya maelezo hayo, sasa naomba niwatangazie majimbo ya uchaguzi yatakayotumika katika uchaguzi wa mwaka 2015. Soma zaidi hapa: –

Advertisements

One Reply to “ZEC yatangaza majimbo 4 mapya”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s