“Zanzibar haihimili tena siasa za kibaguzi” – Mansoor

Mansoor Yusuf Himidi, mshauri mkuu wa mikakati wa chama cha CUF, Tanzania.
Mansoor Yusuf Himidi, mshauri mkuu wa mikakati wa chama cha CUF, Tanzania.

Katika mahojiano haya na Mohamed Abdul-Rahman, Mansoor Himidi anaangalia nyuma kwenye siku zake akiwa kiongozi mkuu kwenye SMZ na Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar na kuzungumzia mustakbali wa kisiasa na kiuchumi wa visiwa hivyo huku chama chake kipya cha CUF kikiutangazia mwaka 2015 kuwa “mwaka wa maamuzi”. Kusikiliza mahojiano kamili, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini. http://www.dw.de/popups/mediaplayer/contentId_18289605_mediaId_18289606

Mahojiano: Mohamed Abdul-Rahman/Mansoor Yusuf Himidi
Mhariri: Mohammed Khelef

 

One Reply to ““Zanzibar haihimili tena siasa za kibaguzi” – Mansoor”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s