Waliochaguliwa kupata elimu ya juu chini ya ufadhili wa Serikali ya Oman

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman,Dk.Rawya Saud Al Busaid, Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman,Dk.Rawya Saud Al Busaid, Ikulu Mjini Zanzibar

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Kamati ya pamoja inayoratibu program ya “Oman Academic Fellowship” (OAF)
inayodhaminiwa na Falme ya Oman, inapenda kutangaza kwamba waombaji wafuatao
wamekubaliwa kupata udhamini wa masomo kwa ngazi za Masters na PhD kwa mwaka
2014/2015 katika masomo walioomba kama inavyoonekanwa kwenye Jadweli.
Waombaji hawa wanatakiwa wafuate maelekezo yafuatayo:
– Wawasilishe kopi za vyeti na vyeti vyao vya asili kwa Naibu Makamu Mkuu wa
Chuo, Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar, kwa ajili ya kuthibitishwa
– Watafute vyuo kwa ajili ya masomo yao. Muombaji anaweza kuomba Chuo chochote
ulimwenguni ambacho kimo katika vyuo 200 bora ulimwenguni katika mfumo wa
Shanghai Ranking inayoparikanwa katika tovuti: http://www.shanghairanking.com
– Wafanye mitihani ya lugha ya Kiingereza na wapate alama kama ilivyotangazwa
Kwa taarifa zaidi, waombaji waliokubaliwa wawasiliane na Naibu Makamu Mkuu –
Taaluma, Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Tunguu Campus. Au watumie anuani
za barua pepe zifuatazo: dvcacademic@suza.ac.tz au haji.mwevura@suza.ac.tz
No Name Program

IMG_8057
1 Mohamed Mbarouk Suleiman Teacher Education/ Curriculum Development (PhD)
2 Rajab Kheir Rajab Teacher Education/ Curriculum Development (PhD)
3 Mwanajuma Salim Othman Rural Development (PhD)
4 Salha Abdalla Said Internal Medicine (Masters)
5 Aida Mohammed Ali Pediatrics (Masters)
6 Sakina Ahmed Alawy Al
Jamalullayl
Biochemistry (Masters)
7 Miza Silima Vuai Microbiology (Masters)
8 Amne Nassor Issa Microbiology (Masters)
9 Patima Kheri Koba Early Childhood Education (Masters)
10 Yussuf Ali Said Majid Jahaadir Early Childhood Education (Masters)
11 Tamasha Juma Therea Early Childhood Education (Masters)
12 Adam Abdulla Makame Oil and Gas Management (Masters)
13 Zaituni Mussa Ali Tourism Marketing (Masters)
14 Moh’d Idrissa Haji Jecha Inclusive Education (Masters)
15 Kassim Omar Tourism and Hospitality Management (Masters)
16 Fatma Khamis Said Tourism marketing (Masters)
17 Alawiya Nasser Finance (Masters)

Chanzo: SUZA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s