Wawajibikaji wawajibike. Wasiowajibika wawajibishwe. Wawajibishaji wawajibishe.

kamati ya fedha
Hatma ya ukaguzi na udhibiti wa fedha za umma itakuwa mashakani kama uhalali wake na wa mchakato wa utekelezaji wake utatiliwa mashaka. Hata ukaguzi ukifanywa kwa dharura, haraka hiyo isiwe sababu ya kufanya tuhoji nani atamkagua mkaguzi kama tunavyohoji nani atamhariri mhariri. Uhakiki ni kupata uhakika. Ni kupata majibu siyo kuongeza maswali. Kukiwa na majibu ya hakika hata uwajibikaji utakuwa wa hakika.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s