Jumba laporomoka Mji Mkongwe

Jumba moja kongwe liliopo Mji Mkongwe karibu na Jaws Corner limeporomoka leo asubuhi.
Jumba moja kongwe liliopo eneo la Mji Mkongwe karibu na Jaws Corner limeporomoka leo asubuhi, Jumba hilo lipo Jaws Corner kama unakwendea Kanisa la Minara Miwili pale kwenye Corner ambapo nje huwa panauzwa vinyago. Nyumba hiyo zamani akiishi aliyekuwa Mwenyekiti wa mwanzo wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Mr Zubeir.  hata hivyo inaeleza hakuna aliyeumia kutokana na kuanguka kwa jumba hilo kwa kuwa lilihamwa muda mrefu, hata hivyo inaelezwa kwamba kuna watu wawili walipita muda mfupi ndipo lilipoanguka jumba hilo bado haijafahamika kwamba watu hao walisalimika au wamefukiwa na jumba hilo.  Vikosi vya ulinzi vipo vinafanya kazi hizi sasa. Allah awasalim salama. 

Vijana wa Mji Mkongwe wakipiga picha na kutizama baadhi ya athari zilizotokea katika sehemu ya jumba hilo lililoporomoka
Vijana wa Mji Mkongwe wakipiga picha na kutizama baadhi ya athari zilizotokea katika sehemu ya jumba hilo lililoporomoka liliopo Mji Mkongwe ambao ni Urithi wa Kimataifa
Sehemu la jumba lililoporomoka eneo la Mji Mkongwe, Jumba hilo
Sehemu la jumba lililoporomoka eneo la Mji Mkongwe, Jumba hilo limeporomoka asubuhi ya leo
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s